Form Two Results/ Matokeo ya Kidato cha Pili (FTNA)

Form Two Results/ Matokeo ya Kidato cha Pili (FTNA): ukurasa huu wa Darasa Huru unakusanya maelekezo na viungo vya matokeo ya mitihani ya Taifa kwa ajili ya wanafunzi, wazazi na walimu. Matokeo rasmi hutolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) pekee, kupitia tovuti ya necta.go.tz au kwa simu (piga *152*00#, chagua ELIMU kisha NECTA). Soma mwongozo kamili wa kuangalia matokeo ya NECTA kwa hatua kwa hatua, pamoja na maana ya herufi kama S, I na ABS kwenye matokeo.

Soma pia: Form One Selection | Form Five Selection | Past papers za NECTA

FTNA Form 2 Exam Results

2019 Results
2018 Results
2017 Results
2016 Results
2015 Results
2014 Results (Updated)
2014 Results