Past Papers za NECTA na Mock Exams kwa Kidato cha 1-6 (Pamoja na Majibu)
Njia bora zaidi ya kujiandaa na mitihani ya Taifa ni kufanya mazoezi kwa past papers za NECTA na mock exams zenye majibu. Ukurasa huu unakusanya mahali pamoja makusanyo yote ya Darasa Huru kwa Kidato cha 1 hadi 6, pamoja na ushauri wa jinsi ya kuzitumia vizuri.
Past papers za NECTA kwa kidato
- Kidato cha Nne (CSEE): All Form Four NECTA (CSEE) Past Papers
- Kidato cha Sita (ACSEE): All Form Six (ACSEE) NECTA Past Papers
- Kidato cha Pili (FTNA): Form Two mock na pre-national exams
- Darasa la Saba: School exams for Standard Seven
- Diploma ya Ualimu (DSEE/DTEE): DSEE/DTEE past papers
- Mitihani yote yenye majibu: Examinations with Answers
Mock exams (mitihani ya majaribio)
- Form Four regional mock: masomo yote
- Form Six mock exams + marking schemes
- Mock za Tanzania (TAMONGSCO, TAHOSA n.k.)
- NECTA na mock zilizotatuliwa (majibu)
- Zote: Mock exams with answers
Ripoti za uchambuzi wa NECTA (siri ya kupata alama za juu)
Ripoti hizi za NECTA zinaeleza kila swali liliulizwa nini, majibu sahihi, na makosa ambayo watahiniwa wengi hufanya. Ni rasilimali muhimu kwa mwanafunzi na mwalimu.
- Ripoti za uchambuzi: Kidato cha Nne (CSEE)
- Ripoti za uchambuzi: Kidato cha Sita (ACSEE)
- Ripoti za uchambuzi: Kidato cha Pili (FTNA)
- Fomati na miongozo ya mitihani iliyoidhinishwa na NECTA
Notes kwa somo
Mathematics · Physics · Chemistry · Biology · Geography · History · English · Kiswahili · Civics · Commerce · Bookkeeping · Accountancy · Economics
Jinsi ya kutumia past papers kwa ufanisi
- Anza na notes, kisha mazoezi. Hakikisha umepitia mada kabla ya kufanya mtihani wa mada hiyo.
- Fanya kama mtihani halisi. Weka saa, usiangalie majibu, na fuata maelekezo ya karatasi.
- Sahihisha kwa marking scheme au majibu, kisha andika makosa yako kwenye daftari maalum.
- Linganisha na ripoti ya uchambuzi ya NECTA ili kuona majibu yanayotarajiwa na makosa ya kawaida.
- Rudia karatasi za miaka 5 hadi 10 iliyopita. Mada nyingi hujirudia kwa mitindo tofauti.
- Fanya mock za mikoa mbalimbali karibu na mtihani ili kuzoea maswali mapya.
Soma pia: Jinsi ya kuangalia matokeo ya NECTA | Form Five Selection | Form One Selection
Share This Post
Comments
Post a Comment