Kiswahili Kidato cha Kwanza – Majaribio kwa Kila Mada
Jinsi ya kutumia majaribio haya
Chagua mada uliyosoma na ujibu maswali bila kuangalia notsi. Pitia maswali uliyokosea, rudia sehemu husika, kisha jaribu kuyajibu tena kabla ya kuhamia mada nyingine.
Majaribio kwa kila mada
TOPIC : 1MAWASILIANO
MASWALI YA MADA
MADA: MAWASILIANO:
KIDATO CHA KWANZA.
A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI.
Mawasiliano ni:___________
Kufanya mawasiliano miongoni mwa wanajamii
Kupashana habari miongoni mwa wanajamii kwa njia
mbalimbali
Kufanya majadiliano marefu.
Lugha inatofautiana na Nyanja nyingine za mawasilianao kutokana
na
Lugha inatoa sauti nzuri.
Lugha ina za kusemwa na binadamu.
Lugha ina sauti nyingi.
Moja ya sifa za lugha ni ____________
Kufurahisha jamii.
Kuathiri na kuathiriwa
Kuipenda jamii.
Mtungaji wa lugha ya Kiswahili hasa kijana mdogo anapowasalimia
watu wazima “Jamani mambo zenu?”, atakuwa amekiuka;-
Utamaduni wa lugha ya Kiswahili
Utaratibu wa mawasiliano
Ujumbe wa lugha ya Kiswahili.
Sauti za lugha zipo za aina kuu mbili, nazo ni?
Irabu na lugha
Lugha na mawasiliano
Irabu na konsonanti.
B: OANISHA MANENO YALIYO KATIKA
FUNGU A ILI YAFANANE NA YALE YA FUNGU B.
FUNGU A
FUNGU B.
Nyanja
za mawasiliano
Lafudhi
Lugha
mama
Sarufi
Sauti
za ndege, wadudu na wanyama
Kithembe
Kiimbo
Mazungumzo
na maandishi
Mifano
ya ishara katika mawasiliano
Mazingira.
Matamshi
ya mzungumzaji yanayotokana na lugha yake ya mwanzo.
Kasoro
aliyonayo mtu wakati wa utamkaji wa neno fulani.
Lugha,
ishara na ala za sauti
Kupanda
na kushuka kwa mawimbi ya sauti wakati wa utamkaji.
Moja
ya tanzu za lugha
Lugha
anayojifunza mtu tangu utotoni
Hazina
sifa ya kuwa lugha.
Aina
za lugha
Kukonyeza
na kutabasamu
Kubadilika
kwa lugha.
C: JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI.
Tanzu za lugha ni _______________________ na
_____________________
Sauti za lugha ni za aina mbili, nazo ni ____________
na ___________________
Ngoma na baragumu ni mifano ya ishara katika Nyanja
__________________
Idadi ya sauti za lugha za konsonanti ni ngapi?
______________
Idadi ya sauti za lugha za irabu ni ngapi?
_______________
Taja mambo muhimu manne yaliyomo ndani ya dhana ya
lugha.
___________________
___________________
___________________
___________________
D: ANDIKA NDIYO KWA KAULI ILIYO
SAHIHI NA SIYO KWA KAULI ISIYO SAHIHI.
Lugha ni moja ya Nyanja za mawasiliano__________
Sauti za lugha zitolewazo na mwanadamu zisipokuwa na
mpangilio mzuri zina sifa ya kuitwa lugha_____________
Mtumiaji wa lugha akitamka neno “Kurara” badala ya
neno “Kulala” atakuwa amekiuka sheria na taratibu zinazosimamia lugha ya
Kiswahili __________
Lugha mama huweza kuziathiri lugha za mtumiaji
zinazofuatia.___________
Lugha hutumika katika kutolea elimu katika ngazi ya
shule za msingi, sekondari na vyuo______________
Kiimbo cha kupanda katika lugha ya Kiswahili hutumika
katika kauli za maswali______________
E: MAJIBU YA MAELEZO MAFUPI
Eleza kwa ufupi kwa kutoa hoja tano kuhusu umuhimu wa
lugha.
Eleza tofauti tano zilizopo kati ya lugha ya
mazungumzo na lugha ya maandishi.
Mkuu unacopy na kupaste sana, andika mwenyewe.
ReplyDelete